May 17, 2014

  • WALTER CHILAMBO ANUSURIKA KATIKA AJARI, TAZAMA PICHA HAPA.

     
    Mshindi wa EBSS 2012 Walter Chilambo amenusurika kifo katika ajali ya gari iliyotokea jana usiku na gari yake kuharibika.

    Chilambo ameshare picha ya gari aliyopata nayo ajali na kuandika ujumbe huu,

    "Asante Mungu kwa kila jambo nilipata ajali Jana usiku lakini nashukuru Mungu nipo Salama ila mashine imezingua kidogo daaaa Mungu mkubwa sana tunatembea na kifo mkononi…tukumbuke kusali".
  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.