May 19, 2014

  • SAJENT ATINGA NA KIVAZI CHA KLABU KWENYE KITCHEN PARTY

     
     
     
     
    MWIGIZAJI Bongo Movies, Husna Idd 'Sajent' amewashangaza waalikwa baada ya kutinga na kivazi cha klabu kwenye kitchen party katika Ukumbi wa Mawela, Sinza jijini Dar. 
    Mwigizaji Bongo Movies, Husna Idd 'Sajent' (kushoto) akiwa na Shilole.
    Sajent alipoingia ukumbini aliwafanya watu wote kumgeukia huku baadhi wakihoji namna ambavyo wazazi wa biharusi watamtathmini.
    Hata hivyo, mwenyewe hakujali kwani aliingia ameongozana na msanii mwenzake, Salma Jabu 'Nisha' ambaye walishikana kama mtu na matroni wake.
     
  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.