May 25, 2014

  • REAL MADRID YAICHAPA ATLETICO MADRID 4-1 NA KUTWAA `DEBE` LA 10 LA UEFA, BALE NI KIBOKO



    REAL MADRID YAICHAPA ATLETICO MADRID 4-1 NA KUTWAA `DEBE` LA 10 LA UEFA, BALE NI KIBOKO

    Delight: Gareth Bale scored a              vital goal for Real Madrid in extra time in the Champions              League final

    Gareth Bale of Real Madrid celebrates                              with the Champions League trophy
    Welsh wonder: Bale with the flag of his                              home nation as he celebrates Real's victory
    Bale akiwa na bendera ya nchi yake wakati akishangilia ushindi wa Real Madrid.
    Silverware:                                Captain Iker Casillas lifts the Champions                                League trophy for Real Madrid
    Nahodha Iker Casillas akinyanyua kombe
    Uplifting:                                Ronaldo gets his hands on the trophy in                                Lisbon after Real's extra time victory
     Ronaldo akinyanyua kombe mjini  Lisbon baada ya  Real kushinda dakika za nyongeza
    Dream duo: The £166m partnership of                              Ronaldo and Bale enjoy Real's victory at the                              Stadium of Light
    Landmark:                                  Real Madrid's players celebrate their                                  10th European Cup triumph
    Wachezaji wa  Real Madrid wakishangilia ubingwa wao wa 10

    Imechapishwa Mei 25, 2014, saa 7:00  usiku

    HATIMAYE Gareth Bale ameisaidia Real Madrid kutumiza ndoto za `La Decima` baada ya kutwaa ndoo ya 10 ya UEFA kufuatia ushindi wa dakika za nyongeza katika mchezo wa fainali dhidi ya majirani zao Atletico Madrid.
    Alizaliwa Wales, alikulia Southampton na kung`ara Tottenham, nyota huyo mwenye miaka 24 ameendelea kuonesha kuwa Real Madrid hawakukosea kumsajili kwa rekodi ya dunia baada ya kufunga bao ambalo limeandikwa katika historia ya klabu.
    Bale alionekana kutokuwa makini kipindi cha kwanza baada ya kupoteza nafasi za kufunga, lakini aliendeleza rekodi nzuri ya msimu wake wa  kwanza Real Madrid baada ya kuifungia bao la pili katika dakika za nyongeza, kabla ya vijana hao wa Carlo Ancelotti kushinda kwa mabao 4-1.

    Kikosi cha Real Madrid: Casillas, Carvajal, Varane, Sergio Ramos, Fabio Coentrao (Marcelo 59), Modric, Khedira (Isco 59), Di Maria, Bale, Benzema (Morata 79), Ronaldo.
    Wachezaji wa akiba: Diego Lopez, Pepe, Arbeloa, Illarramendi.
    Waliopata kadi za njano: Ramos, Khedira, Marcelo, Ronaldo, Varane.
    Waliofunga magoli. Ramos 90, Bale 110, Marcelo 118, Ronaldo 120.
    Kikosi cha Atletico Madrid: Courtois, Juanfran, Miranda, Godin, Filipe Luis (Alderweireld 83), Raul Garcia (Sosa 66), Gabi, Tiago, Koke, Villa, Diego Costa (Adrian 9).
    Wachezaji wa akiba: Aranzubia, Mario Suarez, Rodriguez, Diego.
    Mfungaji wa Goli: Godin 36.
    Walioneshwa kadi nyekundu: Garcia, Miranda, Villa, Juanfran, Gabi, Koke, Godin.
    Mwamuzi: Bjorn Kuipers (Holland)


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.