May 25, 2014

  • MAVUNO MAKUBWA YA MAHINDI SHAMBANI KWA PINDA




     Kilimo kwanza

     Waziri Mkuu,Mizengo Pinda  akikagua mavuno ya mahindi kutoka shambani kwake yaliyokusanywa nyumbani kwake Kibaoni wilayani Mlele, Mpanda Mai 24, 2014. Mheshimiwa Pinda anatarajia kuvuna zaidi ya magunia 1000 ingawa ekari tano za mahindi hayo ziliharibiwa na Tembo kutoka hifadhi ya katavi. (Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu

  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.