Mabondia Karama Nyilawila (kushoto) na Said Mbelwa wakitambiana wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa kugombania ubingwa wa UBO ifikapo Mei 24 mwaka huu katika ukumbi wa Friends Corner Manzese jijini Dar es salaam. katikati ni katibu mkuu wa chama cha ngumi za kulipwa nchini PST Anthony Rutta. Picha na Duper D
0 comments:
Post a Comment