August 18, 2014

  • MKUU WA MKOA WA DODOMA AFUNGUA MKUTANO WA KITAIFA WA KANISA MORAVIAN TANZANIA, ATAKA KANISA KULIOMBEA TAIFA



    MKUU WA MKOA WA DODOMA AFUNGUA MKUTANO WA KITAIFA WA KANISA MORAVIAN TANZANIA, ATAKA KANISA KULIOMBEA TAIFA
    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi akizungumza na viongozi wa kanisa Moravian Tanzania wakati akifungua Mkutano wa Kitaifa wa kanisa hilo uliofanyika mwishoni mwa wiki hii mjini Dodoma.
    Baadhi ya viongozi wa kanisa la Moravian Tanzania wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr Rehema Nchimbi (hayupo pichani) wakati akifungua Mkutano wa kitaifa wa kanisa hilo hapa nchini uliofanyika mwishoni mwa wiki hii mjini Dodoma.


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.