May 13, 2014

  • OKAY TUPO KWENYE ILE SIHU YA VICHWA VYA HABARI

    Kwa kweli inatakiwa waganga wetu wajiandae hawa jamaa wakija tuwatwange 10-0. So timu husika ziambiwe mapema ili ziandae bajeti ya kutosha kwa ajili ya waganga, wote tunaju kwa mazoezi yetu yanayoishia kwa kula ugali wale jamaa hatuwafungi, lakini kwa mejik tutawaweza


    Kama mnavyojua kuna wanachama wahindi, waarabu lakini this time kwa mara ya kwanza kumepatikana memba mzungu, timu sasa inakuwa


    Hapa hatusemi kitu kwani tumetoka kapa


    Umeonaeeee


    Tafsirini kwa kingleza ndio mtaelewa
  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.