May 15, 2014

  • MAJANGAZZ AJALI IRINGA, BAJAJI YAMGONGA MWANAFUNZI ENEO LA POSTA

     
     
     
     

    taiRi ya bajaji  hiyo  likiwa  limekatika

    Askari  wa usalama  barabara  wakikagua ajali  hiyo mbaya iliyosababisha hadi ukuta wa uzio wa bustani ya  Manispaa ya Iringa  kubomoka
    Bajaji  ikiwa  imepata  ajali mbaya mchana  huu eneo la posta mjini Iringa
    Bajaji ya Mng'aro  wa sembe  akiwa emepata ajali  wakati ikisambaza unga  huoInaendelea>>>>
  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.