May 10, 2014

  • KIVUMBI NA KITIM TIM CHA MISS TABORA 2014 JANA LIVE!!

     
     
     



    Miss Zenna Motte, Mwafunzi wa chuo kikuu cha Mt. Agustino cha Tabora chuo kishiriki cha SAUT anayesomea kozi ya Mahusiano wa Umma na Masoko mwaka wa pili, mshindi wa shindano la Redds lililofanyika wiki jana tarehe 2 mei 2014, hapa alikuwa jukwaani na vazi lake la ubunifu lenye nakshi na mchanganyo wa rangi za bendera ya Tanzania


    Miss Zenna Motte, REDDS MISS TABORA 2014. MAY 2
    Zenna Motte, hapa alikuwa katika jukwaa akionesha kipaji ambacho kilimpa ushidi wa taji la kipaji hicho kilichotengenezwa kwa muundo wa katuni au mtu ndani ya mtu au waweza sema mtu juu ya kijitu...

    Ni nouma sana
    Waweza ufe ukicheka.

    Warembo walipotembelea redio ya CG FM 89.5 moja ya wadhamini wa shindano hilo (Kushoto ni Zenna na kulia ni Elizabeth ambaye alinyakua taji la mshindi wa pili wa shindano la REDDS MISS TABORA 2014)

    Warembo walipata kufurahi katika moja ya klabu ya muziki iliyopo mkoani Tabora wakiwa chini ya usimamizi wa kamati ya maandalizi ya shindano hilo, pia warembo walipokelewa vizuri na uongozi wa klabu hiyo ya One Zero One (101)
    Miss Zenna Motte Kushoto akishangiliwa wakati wa utambulisho kama walivyoshangiliwa washiriki wengine.
    Hupenda kuwa na watu na watu hupenda kuwa naye pia, mrefu kupita wote na shingo kama ya twiga ni Zenna.... Halaaaaaaaaa....! [PICHA NA aloyson.com]
  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.