May 11, 2014

  • KIKOSI CHA MAREKANI CHAMKAMATA MFUASI WA BOKO HARAM NICHINI NIGERIA.

     
     
     
     

    Kikosi maalum cha marekani kilichotumwa kwa ajili ya kuwatafuta watoto 270 walio tekwa na BOKO HARAM chaanza kazi kwa kishindo baada ya kumkamata mtu mmoja anayehisiwa kuwa ni mmoja wa kikundi cha BOKO HARAM.
  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.