Nilijibanza mahala leo nikiwa
nakimbia mvua. Ghafla nikasikia mdada akiomba vitu kadhaa nikajua atakuwa
anasali anamuomba Mungu. Cha ajabu hatimae nikasikia "Ok baby mwah I love you.
Navisubiri". Kumbe alikuwa akiongea na buzi. Maana ilikuwa kali, naomba school
fees za mdogo wangu nisaidie nipate gari kama la Wema, naomba unipe mtaji nataka
kwenda China, nisaidie na matibabu ya shangazi anatakiwa kwenda India.
0 comments:
Post a Comment