May 11, 2014

  • HAWA NDIO WASANII WATANO WA KIKE WANAOSHIKA CHATI NA MAUZO KWA SASA KWENYE SOKO LA FILAMU TANZANIA




    wasanii watano wanao kimbiza kwenye filamu kwa sasa na wanaendelea kushika chati ya juu 
    1 salma jabu nisha 

    2 jennifa kyaka odama 

    3 jackryn wolper 

    4 irene uwoya


     5 wema sepetu 

    hawa wanafanya vizuri kwenye filamu kwa sasa wakati huo nisha anaonekana kung'aa sana kwa miaka hii miwili mfululizo kwa filamu zake sokoni.

  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.