May 15, 2014

  • HABARI MUPYA TOKA KWA DIAMOND PLATINUMZ..SOMA ZAIDI HAPA...!

     

    Selfie aliyoipost Diamond kwenye ukurasa wake wa Instagram huenda ikategeua kitendawili cha ni wimbo upi staa huyo ameenda kushoot video yake nchini Uingereza. 

     
    Iyanya (wa kwanza kushoto) Diamond, Babu Tale, Ommy Dimpoz, Moe Musa (wa pili kutoka kulia) na watu wengine wakiwa kwenye picha ya pamojaKama ilivyokuwa kwa Ommy Dimpoz(waliyesafiri naye hadi Uingereza) aliyemtumia muongozi wa video wa Uingereza, Moe Musa kushoot video ya wimbo wae Ndagushima, inaonekana Diamond naye ameamua kumtumia muongozaji huyo wa video za wasanii wengi maarufu wa Afrika.Pia inavyoonekana wimbo unaofanyiwa video ni ule wa Diamond aliomshirikisha staa wa Kukere, Iyanya ambaye naye yupo kwenye selfie hiyo. Moe Musa ameongoza video kibao zikiwemo Carol ya Star Boy f/ Wizkid, Azonto na Antenna za Fuse ODG, Skelewu ya Davido na zingine. Mambo yamekwiva!
  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.