Balozi wa Tanzania Ubelgiji
Dr. Diodorus Buberwa Kamala akiwa katika picha ya pamoja na Meneja wa Uwekezaji
wa Taasisi ya Uwekezaji ya Wallonia ya Ubelgiji Bi. Dominique Badot baada ya
kumaliza kikao cha maandalizi ya Ziara ya Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka
Ubelgiji inayopangwa kufanyika Tanzania mwaka huu.
0 comments:
Post a Comment