Taaarifa kutoka                  syria zinasema zaidi ya watoto kumi na mbili wamekufa na                  wengine kuugua baada ya kupewa chonjo ya surua                  inayosemakana kuwa haukuwa salama katika eneo                  linalodhibitiwa na waasiShirika la Uingereza linahusika na uangalizi wa                  haki za binadamu nchini Syria limesema chanjo hiyo                  ilitolewa katika maeneo ya vijijini kaskazini mwa Syria.Ugonjwa kama surua na polio                  umesambaa tangu kutokea kwa mafarakano miaka ya 2011.
          Huduma za afya                zimevurugika sana nchini Syria.
          Wapinzani kutoka chama                Syrian National Coalition wa nchi hiyo wamesema                watasitisha mpango wa chanjo ya surua kufuatia vifo hivyo                vilivyotokea.
        
0 comments:
Post a Comment