Tukio hili limetokea eneo la Bonanza kata ya                                  Chamwino, Dodoma mjini. Kwa shuhuda wetu                                  aliyekuwa eneo la tukio  amesema kuwa                                  dereva wa bodaboda amekutwa amefariki                                   baada ya kuuliwa na watu wasiojulikana                                   na kisha watu hao kutoweka  bodaboda                                  aliyokuwa akiendesha marehemu huyo.                                  Dereva huyo wa bodaboda  amechomwa kisu                                  maeneo ya tumboni na shingoni katika                                  mwili wake na katika eneo la tukio                                  kumekutwa visu viwili amavyo                                  vinasadikika kutumiwa katika uharifu huo                                  kando kidogo ya barabara na sehemu                                  ulipokuwa mwili wa marehemu.(Picha na                                  Alex wa Pamoja Blog)
                            
                                                     Hiki ni mojawapo ya kisu                                kinachosadikiwaa kutumika katika kufanya                                mauaji hayo ya dereva wa Bodaboda na kisha                                watu hao kutoweka na pikipiki.
                           Damu ikiwa imetapakaa eneo la                                tukio
                                                     Hii ni mojawapo ya sehemu                                aliyochomwa kisu dereva huyo wa bodaboda 
                                                    Baadhi ya mashuhuda wakiwa kwenye                                eneo la tukio
                        




0 comments:
Post a Comment