September 14, 2014

  • DEREVA BODABODA ANUSURIKA KIFO.



    DEREVA BODABODA ANUSURIKA KIFO.
    AJALI_18a78.jpg Mwendesha pikipiki maarufu kama bodaboda mkazi wa Ndiuka, Justin Chahe amenusurika kifo pamoja na abiria wake baada ya kugongana na daladala  eneo la mwisho wa lami, Mwangata katika Manispaa ya Iringa leo mchana.

    AJALI.3_abfff.jpg

    Dereva huyo baada la kulipita gari moja akitokea Zizi la Ng'ombe ghafla akakutana na hiace mbele ambapo dereva wa daladala alipinda kulia bila kuonyesha indictor kuelekea Kihodombi na kusababisha pikipiki kuingia uvunguni mwa gari hilo ingawa daladala ilikuwa haina abiria hata mmoja ndani yake. (


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.