
Taswira baada ya ajali hiyo.
            WATU watatu waliokuwa              wakitembea kwa mguu wamepoteza maisha papo hapo baada ya              kugongwa na gari dogo lililopoteza mwelekeo mkoani Njombe              usiku wa kuamkia leo.
            
Gari dogo baada ya kuligonga              lori la mafuta.
            Gari hilo lilipoteza uelekeo              baada ya kumulikwa na lori la mafuta lililokuwa mbele yake              na kuwagonga watu hao kisha kulivaa hilo lori na kuharibika              vibaya. Watu waliokuwa ndani ya lori hilo wamejeruhiwa              vibaya.
            
Wananchi wakiwa eneo la tukio              baada ya ajali hiyo iliyoua watu watatu.
            
Lori la mafuta baada ya              ajali.
          
0 comments:
Post a Comment