Mkuu wa            Mkoa wa Mbeya Mh, Abbas Kandoro akiongea na Madereva na Abiria            leo asubuhi saa kumi na moja katika kituo Kikuu cha Mabasi            Mbeya
                 Kamanda            wa Polisi Mkoa wa Mbeya Ahmed Msangi wa kwanza kulia akiwa            katika mkutano huo
                        Baadhi ya Madereva, Abiria na ma Agent wa            mabasi wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya
                Mabasi            yakianza kuondoka
        Habari            kamili itawajia hapo baadae
        Picha na            Mbeya yetu
        
0 comments:
Post a Comment