Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Ali Juma Mkangala ,mmoja washiriki wa Mkutano wa Kutatua mgogoro wa kiwanda cha chai cha Liponda kilichopo Bumbuli Tanga. Mkutano huo ulifanyika kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga Septemba 13, 2014.
Mbunge wa Mlalo, Brigedia Jenerali Mstaafu, Hassan Ngwilizi (kushoto) na Mbunge wa Bumbuli , Januari Makamba (kulia) wakiteta na Waziri wa Kilimo , Chakula na Ushiriki Mhandisi Christopher Chiza katika mkutano wa kutatua mgogoro wa kiwanda cha chai cha Liponde kilichopo Bumbuli Tanga kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Tanga, Septemba 13, 2014. Kikao hicho kiliongozwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
0 comments:
Post a Comment