"Picha ya pamoja baada ya kutembelea na kuongea na watumiaji wa madawa ya kulevya waliopo kwenye sober house iitwayo Back 2 Life iliyopo mtaa wa Feri, Kigamboni. Matumizi ya madawa ya kulevya yanazidi kuongezeka. Mikakati ya kudhibiti tatizo hili inahitajika sasa kabla halijawa janga la kitaifa." |
0 comments:
Post a Comment