May 14, 2014

  • Bwana we mi simjui, na usiendelee kuniulizauliza

    JAMAA na mkewe walikuwa wanazunguka supamaket binti mmoja mzuri akawasalimia,'Mambo?' kisha akaendelea na safari. 
    MKE: Nani yule?
    MUME: Bwana we mi simjui, na usiendelee kuniulizauliza maana nimeshachanganyikiwa, sijui ntamwambia wewe nani atakaponiuliza
  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.