May 10, 2014

  • ALICHO KISEMA DIAMOND PLATNUMZ KUHUSU WIMBO WAKE WA “KITORONDO”

     
     

    Wimbo ulio patakikana kwenye mitandao wa Diamond "Kitorondo" ana dai wimbo huo umevuja na hajui aliovujisha ni nani hii ndio kauli yake
    Moja ya nyimbo zangu ambazo ziko store hazija toka nimeikuta mtandaoni na sijui imefikaje, tena ikiwa kwenye mfumo wa Voicenote, yaani haina quality kabisaa..endelea >>>>>>>
  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.