August 10, 2014

  • Angalia Picha: Kili Music Tour ilivyofunika Mbeya


    Angalia Picha: Kili Music Tour ilivyofunika Mbeya
     Mashabiki wakiingia katika uwanja wa New City Pub kushuhudia Kili Music Tour

    Zembwela na Dulla wa EATV katika amsha amsha kabla ya show kuanza.


     Mkali kutoka Mbeya Izzo Bizness ndani ya backstage.

     Chibwa anaefanya miondoko ya Ragga ndie aliifuungua show ya Kili Music Tour Mbeya


     Shilole akionyesha uwezo wake wa kulishambulia jukwaa ikiwa ni pamoja na kumpandisha jukwaani mmoja wa mashabiki.


    Backstage: AY na DJ wake Arthur

    Rich Mavoko na madansa wake stejini


     Mashabiki wakifurahia wasanii wanavyolishambulia jukwaa

     Massawe na Kimario kama wanavyopenda kuitwa waliendeleza utamaduni wao wa kufanya show kwa pamoja katika Kili Music Tour.


     Wadau wakifuatilia kinachojiri jukwaani toka pembeni ya jukwaa la Kili Music Tour.

     Mtoto wa nyumbani Izzo Bizness akiiwakilisha Mbeya katika Kili Music Tour


    Shangwe la kutosha kwa mtoto wa nyumbani


     Profesa Jay akimbulisha Mbunge wa Mbeya Mjini Mheshimiwa Joseph Mbilinyi, Sugu.

    Mtangazaji wa Planet Bongo, Dullah hakuwa nyuma katika kuchukua matukio yanayoendelea jukwaani.

    DJ Mafuvu katika mashine akihakikisha wasanii na mashabiki wanakwenda sawa

     Zamu ya Weusi na Viburi kuifunga show ya Kili Music Tour, Mbeya


    Profesa Jay na Sugu wakifuatilia michano ya Weusi



    Mashabiki wakionyesha love ya kutosha kwa Weusi.


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.