June 22, 2014

  • TAASISI MBALIMBALI NDANI YA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA




    TAASISI MBALIMBALI NDANI YA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA
    TF0Mpima Ardhi kutoka Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bw. Edwin Emmillian akimuelekeza Mwanafunzi wa Kidato cha Pili Shule ya Sekondari Benjamini alipotembelea banda la Wizara hiyo wakati wa Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.TF1 Katikati Afisa Mchambuzi wa Mifumo ya Kompyuta Mkuu wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Bw. Muze Ninkambazi akifafanuajambo kwa mmoja wa wadau wa Bodi hiyo alipotembelea banda lao katika viwanja vya Mnazi Mmoja ambapo Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanaendelea.Kushoto ni Afisa Mikopo wa HESLB Bi. Zahra Kitara.
    TF2Kulia aliyevaa Kofia ni Afisa Mwandamizi wa Habari, Elimu na Mawasiliano wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Bi. Veneranda Malima akisikiliza hoja kutoka kwa mmoja wa wadau wa Bodi hiyo alipotembelea katika banda lao jana kwenye  viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, ambapo Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanaendeleaTF3Afisa Habari Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Bw. Martin Malima akifafanua jambo kwa mmoja wa wananchi aliyetembelea banda la TFDA lililopo katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, ambapo Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanaendelea.TF4Fundi Maabara Mwandamizi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Bw. Paul B. Makaranga akimunyesha mwananchi baadhi ya bidhaa zilizopigwa marufuku.TF5.Afisa Habari Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Bw. Martin Malima akifafanua jambo kwa baadhi ya wananchi waliotembelea banda la TFDA lililopo katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, ambapo Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanaendelea.TF6.Afisa Mawasiliano wa TACAIDS Bw. Godlease Malisa akifafanua namna Taasisi yao inavyoshirikiana na jamii katika kudhibiti maambukizi mapya ya Ukimwi kwa mwananchi aliyetembelea katika banda la Taasisi hiyo wakati wa Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.Katikati ni Mfanyakazi wa Kujitolea katika Kitengo cha Mawasiliano cha Taasisi hiyo Bi. Mbeyurose Ndoje.TF7. Afisa Mawasiliano wa TACAIDS Bw. Godlease Malisa akielezea Majukumu ya Taasisi hiyo kwa mwananchi aliyetembelea katika banda la TACAIDS wakati wa Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.TF8Kutoka kulia ni Wafanyakazi  wa TACAIDS wanaojitoleaBi. Nancy Mbwilo kutoka Johnhopkins University na Mevaji Mnaro kutoka UN wakiwahudumia baadhi ya wananchi waliotembelea banda la TACAIDS katika viwanja vya Mnazi Mmojajijini Dar es Salaam, ambapo Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanaendalea.TF9Mmoja wa wananchi aliyetembelea banda la TACAIDS akiandika maoni yake kuhusu huduma zinazotolewa na Taasisi hiyo,mwenye Tishirt ya Bluu ni Mfanyakazi wa kujitolea wa Taasisi hiyo Bi. Mbeyurose Ndoje.TF10.Baadhi ya wananchi wakipata huduma mbalimbali katika banda la TACAIDS wakati wa Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Maonyesho hayo yalianza tangu tarehe 16 Juni na yanatarajia kufungwa rasmi kesho tarehe 23 Juni.
    Picha zote na Frank Shija, WHVUM


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.