Baadhi ya wananfunzi katika chuo kikuu cha Ushirika na Biashara Moshi(MUCCoBS)wakiwa katika ukumbi wa Nyerere kufuatilia Career Day iliyofanyika chuoni hapo. |
Wanafunzi wanaochukua taaluma mbalimbali walipata nafasi ya kuwaeleza waajiri nini wanaweza kufanya pindi watapato nafasi ya kuajiri wa katika taasisi ,kampuni na mashirika mablimbali. |
Baadhi ya wanafunzi wa taaluma mbalimbali walioshiriki kutoa mada katika siku ya Career iliyofanyika chuoni hapo. |
Baadhi ya waajiri. |
Wawakilishi wa kampuni ya Marenga Investment ya mjini Moshi. |
Mwanafunzi wa mwaka wa tatu taaluma ya Meneja rasilimali watu ,Rusma Ndosi akitoa maelezo kuhusuana na taaluma yake hiyo na kwa nini ni muhimu kwa waajiri kuchukua wananfunzi katika chuo hicho. |
Wanafunzi wanaochukua taaluma mbalimbali walipata nafasi ya kuwaeleza waajiri nini wanaweza kufanya pindi watapato nafasi ya kuajiri wa katika taasisi ,kampuni na mashirika mablimbali. |
Mkurugenzi msaidizi wa kampuni ya Marenga Jonas Mshiu akizungumza na wananfunzi wa Chuo kikuu cha Ushirika na Biashara ,MUCCoBS wakati wa siku ya Career Day. |
Wanafunzi wanaochukua taaluma mbalimbali walipata nafasi ya kuwaeleza waajiri nini wanaweza kufanya pindi watapato nafasi ya kuajiri wa katika taasisi ,kampuni na mashirika mablimbali. |
Kampuni ya Fast Jet iliwakilishwa na kiongozi wa timu ya Mauzo wa Fast Jet kanda ya kaskazini Neema David. |
Kwa upande wa wanahabari Fadhili Athumani wa kampuni ya New Habari alipata kuzungumzia nafasi ya waandishi wa habari katika kufanikisha malego ya wanataaluma. |
Wajumbe wa kamati ya maandalizi ya siku ya Career katika chuo kikuu cha Ushirika na Biashara ,MUCCoBS wakiwa katika pozi la picha. |
Washiri katika siku ya Career katika picha ya pamoja. |
Kamati ya maandalizi ya Career Day. |
Mshauri wa wanafunzi chuo kikuu cha Ushirika na Biashara Moshi ,Mr Machimu akiteta jambo na baadhi ya wakufunzi. |
Na Dixon Busagaga wa Globu
ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
0 comments:
Post a Comment