June 22, 2014

  • BALOZI SEIF KWENYE ZIARA YAKE PEMBA



    BALOZI SEIF KWENYE ZIARA YAKE PEMBA
     MAKAMO wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe:Balozi Seif Ali Idd, akimkadhi hundi ya shilingi Milioni 2,500,000, kiongozi wa kikundi cha Tudumishe amani Cha Makangale, mara baada ya kuzinduwa rasmi mfuko wa Uwezeshaji wananchi, Huko Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
     MAKAMO wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe:Balozi Seif Ali Idd, akimkadhi hundi ya shilingi Milioni 1,500,000, kiongozi wa kikundi cha Walemavu Matele Chake Chake, mara baada ya kuizindua Rasmi Mfuko wa Uwezeshaji,huko Micheweni Mkao wa kaskazini Pemba(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

     MAKAMO wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe:Balozi Seif Ali Iddi, akimkabidhi vifaa vya Mwanani vyenye thamani ya shilingi Milioni 3,000,000, mmoja kati ya wakulima wa mwani, ambaye jina lake
    halikupatikana, ikiwa ni ahadi ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)


     MAKAMO wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Mhe:Balozi Sie Ali Iddi, akiangalia moja ya vielelezo vya serikali, vinavyonyesha kuwa eneo la soka la Wete ni mali ya serikali, wakati alipokwenda kusikiliza mzozo wa eneo hilo, baada ya kujitokeza kwa mfanya biashara Ahemed Abdalla (Mapete),
    kudai kuwa eneo hilo ni mali yake.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

    MAKAMO wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe:Balozi Seif Ali Iddi, akitoa tamko la serikali, mbele ya viongozi wa Serikali ya Mkoa wa Kaskazini Pemba na Mfanya Biashara Ahemd Abdalla (Mapete) mwenye kanzu, anaedai kumiliki eneo la soko la Wete, ene ambalo ni mali ya serikali. (Picha
    na Abdi Suleiman, PEMBA.)


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.