Wakazi wa Jiji la                    Mbeya Mjini wajitokeza kwa wingi kupiga kura katika                    Vituo mbalimbali walivyo jiandikishia kuajili ya                    kupiga Kura kama waonekanavyo hapo katika Picha ni                    baadhi ya watu wakiwa katika kituo kilichopo Mtaa wa                    Mkombozi Jijini Mbeya wakiwa wamepanga Foleni kuajili                    ya kupiga Kura.
                                                Baadhi ya Wapiga                    kura wakiwa katika Foleni..
                Hapa                    ni eneo la Mwanjelwa maharufu kwa Jina la Mtaa wa                    kongo likiwa Pweke kuajili ya uchaguzi hakuna alie                    leta Biashara yake hapa siku hii ya leo..
                Baadhii                    ya Maduka ya Vitu vya Jumla na Lejaleja yakiwa                    yamefungwa Eneo la Kabwa Stendi..
                Jeshi                    la Polisi linaendelea kuzungukia Mitaa mbalimbali                    kuhakikisha hali ya Usalama  jijini mbeya Inakuwa                    shwari katika kipindi hiki cha uchaguzi.
                              
0 comments:
Post a Comment