. Muda          mchache baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar          (ZEC), Jecha Salim, kutangaza jaribio lake la kuufuta uchaguzi          mkuu wa2015, makamishna wawili wa Tume          hiyo, Ayoub Bakar na Nassor Khamis, wameuita uamuzi huo kuwa "si          wa ZEC, bali wa Jecha binafsi" na wamejitenga mbali nao. Endelea          kuambatana nasi.
 
0 comments:
Post a Comment