
Rider Kanda Maalum ya Dar es salaam apata ajali akiwa katika msafara uliotoka kuaga mwili wa Marehemu Deo Filikunjombe, ajali imetokea Ubungo Mataa muda huu, Rider no F.4946 Pc Esaya.
▼
Baadhi ya Vibanda vya Biashara vya Wafanyabiashara Ndogondogo Maarufu kama Maching...
Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.
0 comments:
Post a Comment