October 08, 2015

  • News alert: Gari lateketea kwa moto mchana huu sinza Kumekucha, dar es salaam



    News alert: Gari lateketea kwa moto mchana huu sinza Kumekucha, dar es salaam
     Gari dogo linalosemekana lilikuwa matengenezoni limeshika moto na kuteketea mchana huu eneo la Sinza Kumekucha jijini Dar es salaam. Mashuhuda wameiambia Globu ya Jamii eneo la tukio kwamba huenda chanzo kikawa moto wa kuchomelea ambapo fundi welding alikuwa kazini.
     Shughuli zikiendelea kama kawaid wakati gari hilo likiwaka moto
    Hadi wakati ripota wetu akiondoka eneo hilo huku gari likizidi kuteketea hakuna dalili ya kuwepo ya juhudi za kuliokoa. Ihukuriwe hakuna mtu aliyepata madhara.


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.