Watu saba wameuawa katika mji mkuu wa Burundi,            Bujumbura kufuatia kinachodaiwa kuwa jaribio la wizi katika            benki moja.
        Majambazi sita waliuawa na polisi baada ya gari            walilotaka kutumia kutoroka kuzuiwa na polisi, polisi            wamesema.
        Majambazi hao walikuwa wameua afisa mmoja wa polisi            awali.
        Mwandishi wa BBC mjini humo Prime Ndikumagenge anasema            ameona miili mitatu ikiwa katikati mwa barabara na mingine            miwili katika kituo cha mafuta kilichoko karibu.
        Mwili mwingine ulikuwa mita chache kutoka eneo hilo.
BBC.
        BBC.
0 comments:
Post a Comment