October 05, 2015

  • NAPE: Kuondoka kwa Mzee Kingunge Chama kimepata ahueni




    NAPE: Kuondoka kwa Mzee Kingunge Chama kimepata ahueni
    Chama cha Mapinduzi kimesema hatua ya kuondoka kwa Mzee Kingunge ndani ya CCM, imekuwa afadhali kwao kuliko angeendelea kubaki.

    Katibu wa Itikadi na Uenezi amesema kuwa vitendo alivyokuwa anavifanya Mzee Kingunge vilikuwa vinawagawa wananchama ndani ya Chama

    Nape amesema kuwa kitendo cha Mzee kingunge kumuunga mkono mgombea mmoja ndani ya Chama kilikuwa kinawagawa wanachama, alikuwa mzigo ndani ya chama.

    Nape amesema kama chama walikuwa wanashindwa hatua gani wamchukulie mzee Kingunge.

  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.