September 05, 2015

  • MGOMBEA UBUNGE MWENYE UMRI MDOGO KULIKO WOTE KWA UCHAGUZI MWAKA HUU

    MGOMBEA UBUNGE MWENYE UMRI MDOGO KULIKO WOTE KWA UCHAGUZI MWAKA HUU

    Unaweza ukawa unatahamaki uchaguzi wa mwaka huu umehusisha vijana wengi katika nafasi za udiwani na hata ubunge katika sehemu nyingi hapa nchini. Vyama vingi vya siasa kwa msimu huu wa uchaguzi vimesimamaisha vijana wengi katika nafasi nyingi za uongozi. Nimekuwekea hapa Mgombea mwenye umri mdogo kuliko wote katika nafasi ya ubunge kwa uchaguzi wa October 25 mwaka huuAnaitwa Luth Kitentya Shaban Ana umri wa miaka 21, ni mgombea ubunge wa jimbo la kibiti hapa mkoani dar es salaam akigombea kupitia chama cha ACT WAZALENDO

    Unaweza ukawa unatahamaki uchaguzi wa mwaka huu umehusisha vijana wengi katika nafasi za udiwani na hata ubunge katika sehemu nyingi hapa nchini. Vyama vingi vya siasa kwa msimu huu wa uchaguzi vimesimamaisha vijana wengi katika nafasi nyingi za uongozi. Nimekuwekea hapa Mgombea mwenye umri mdogo kuliko wote katika nafasi ya ubunge kwa uchaguzi wa October 25 mwaka huu
    Anaitwa Luth Kitentya Shaban Ana umri wa miaka 21, ni mgombea ubunge wa jimbo la kibiti hapa mkoani dar es salaam akigombea kupitia chama cha ACT WAZALENDO

  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.