NA JAMIIMOJABLOG)
        WATU wengi                wanasumbuliwa na tatizo hili ambalo huwafanya kuwa na uoga                na aibu wa kuelezea na kushindwa hata kwenda hospital                kupata tiba
        JE, UNAJUA                BAWASIRI/HEMORRHOIDS NI NINI????!! 
        ~Ni ugonjwa unaotokana                na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na Inje ya                sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo                huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya                haja kubwa na kasababisha kutoka kinyama au uvimbe.
        ~ugonjwa huu wa                bawasiri kwa lugha ya kitaalamu tunauita HEMORRHOIDS                ilhali kwa lugha ya kingereza unafahamika kama piles 
        ~tatizo hili                huwaathiri watu wote ila zaidi huwaathiri watu wazima                kuliko watoto na inakadiriwa kuwa karibu 50%ya watu wote                wako katika hatari ya kupata tatizo hili katika umri wa                miaka 30_50 
        AINA ZA BAWASIRI 
        ~Kuna Aina mbili za                bawasiri 
        (A) BAWASIRI YA NDANI              
        ~Aina hii ya bawasiri                hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa huwa haiambatani na                maumivu na wengi huwa hawajitambui kuwa Wana tatizo hili 
        ~Aina hii hutokana na                kuvimba na kuharibika kwa mshipa wa artery za ndani ya                mfereji wa haja kubwa 
        ~Aina hii imegawanyika                katika madaraja manne 
        (1)DARAJA LA KWANZA                ~Hii ni bawasiri ambayo haitoki mahali pale panapohusika 
        (2)DARAJA LA PILI ~hii                hutokea wakati wa haja na kurudi yenyewe ndani baada ya                kujisaidia.
        (3)DARAJA LA TATU :hii                hutokea wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kurudisha ndani                yeye mwenywe.
        (4)DARAJA LA NNE :hii                ni bawasiri inayotoka na huwa ngumu kurudi 
        (B)BAWASIRI YA NNJE 
        ~Aina hii ya bawasiri                hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja                kubwa na huambatana na maumivu makali na kuwashwa kwa                ngozi katika eneo la tundu Hilo pia husababisha mishipa ya                damu (vena) kupasuka na damu kuganda na kasababisha Aina                ya bawasiri iitwayo THROMBOSED HEMORRHOIDS 
        CHANZO CHA TATIZO 
        ~chanzo halisi cha                ugonjwa huu hakijapatikana ila Kuna vitu ambavyo huwa                chanzo cha kupata ugonjwa wa bawasiri ambayo ni ÷
        👉KUFANYA                MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE 
        👉KUHARISHA KWA                MUDA MREFU 
        👉TATIZO LA                KUTOPATA CHOO 
        👉MATATIZO YA                UMRI 
        👉KUKAA KITAKO                KWA MUDA MREFU 
        👉UZITO KUPITA                KIASI 
        👉MATUMIZI YA                VYOO VYA KUKAA KWA MUDA MREFU 
        DALILI ZA BAWASIRI 
        👉Ngozi kuwasha                katika eneo la tundu la haja kubwa 
        👉kupata maumivu                makali wakati wa kujisaidia 
        👉kutokea uvimbe                katika eneo la tundu la haja kubwa 
        👉kujitokeza kwa                kinyama katika eneo la tundu Hilo 
        👉kinyesi kuwa                na damu na kunuka harufu mbaya sana 
        MATIBABU NA JINSI YA                KUEPUKA TATIZO LA BAWASIRI 
        ~matibabu ya bawasiri                hutegemea na Aina ya bawasiri pia tiba iliyozoeleka ni                kukatwa kinyama na kuendelea na lishe ya chakula hata hvyo                tiba hii si nzuri kwasababu huwa haitibu chanzo cha tatizo                hivyo huwa rahisi kujirudia hivyo tiba nzuri ni kutumia                dawa na anion chip kubandika mahali penye tatizo na                kuondoa tatizo Hilo 
        ~Pamoja na hayo                bawasiri ni ugonjwa unaoweza kuepukika kwa kuzingatia 
        👉KULA                MBOGAMBOGA ZA MAJANI, MATUNDA, NA NAFAKA ZISIZOKOBOLEWA 
        👉KUNYWA MAJI                MENGI ANGALAU GRASS 6/12 Kwa siku 
        👉EPUKA KUKAA                CHOONI KWA MUDA MREFU 
        MADHARA YA TATIZO LA                BAWASIRI 
        👉kupata                upungufu wa damu (anemia) 
        👉Kupata tatizo                la kutokuweza kuhimil choo 
        👉hupunguza                nguvu za kiume na kuondoa hamu ya tendo la ndoa kwa                wanawake 
        👉kuathirika                kisaikolojia 
        👉kukosa moral                ya kufanya Kazi kutokana na maumivu makali 
        WASILIANA KWA                0717035770 AU 0753692612. 
        
0 comments:
Post a Comment