October 09, 2014

  • HONGERA JIJI KWA KUSIKIA KILIO CHA MTAA WA SOUTH STREET TUMEONA MMEANZA KUCHUKUA HATUA



    HONGERA JIJI KWA KUSIKIA KILIO CHA MTAA WA SOUTH STREET TUMEONA MMEANZA KUCHUKUA HATUA
    Hatimae jiji la Mbeya limeanza kutengeneza barabara ya  South Street mtaa huu ulikuwa maarufu sana hapo nyuma na ulijulikana kwa jina la mtaa wa RTC  sasa unaitwa mtaa wa tunakopesha 
    Hakika kazi tunaiona hivyo tunawaomba jiji mikamilishe mapema kazi hii ili muendelee na maeneo mengine ya jiji hili letu 
    Hizi picha kabla barabara hii haijaanza kutengenezwa

    Picha na Mbeya yetu



  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.