October 09, 2014

  • HALMASHAURI YA JIJI MMELIONA HILI KATA YA FOREST? MAANA HAKUFAI TAKATAKA NA MAJITAKA YANATIRIRIKA MITAANI


    HALMASHAURI YA JIJI MMELIONA HILI KATA YA FOREST? MAANA HAKUFAI TAKATAKA NA MAJITAKA YANATIRIRIKA MITAANI
    Haya ni maeneo ya forest ya zamani jirani na shule ya ST. Franssic au jirani na hoteli ya Grand Palm  kwa ujumla hakufai hizi taka sasa takribani zaidi ya mwezi sasa zipo hapo na zinaendelea kujaa je wahusika mpoo? 


    Moja ya walemavu wa akili akiokota chakula eneo hilo 

    Ni hatari kwa watoto na kwa wale wenye ulemavu wa akili maana taka hizo ninanuka sana



    Kero nyingine  mitaa hiyo hiyo ya forest ni majitaka yanayotiririka toka kwenye nyumba na kuingia mtaani huku wahusika wakipota hapo bila ya kuchukua hatua yeyote  jamani mwabwana afya mpoooo?

    Maji taka hayooo yanaendelea na safari ya kuchafua mtaaa 

    Safari inaendelea na huku harufu mtaa mzima




    Na Mbeya yetu




  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.