October 25, 2014

  • ANUSURIKA KIFO UBUNGO


    ANUSURIKA KIFO UBUNGO

    Pikipiki iliyopata ajali ikiwa chini.

    Umati wa watu ukishuhudia ajali hiyo.
    Daladala iliyojitolea kumsaidia mjeruhiwa.
    Kondakta wa daladala akiendesha pikipiki ya majeruhi.
    KAMERA ya GPL imenasa umati wa watu wakiwa wamemzunguka mwendesha pikipiki, maeneo ya kona ya kuingia stendi mpya ya Simu 2000, maeneo ya Ubungo jijini Dar es Salaam, ambaye alipata ajali na kuumia  sehemu kadhaa za mwili wake.
    (Habari/Picha:Gabriel Ng'osha/GPL)



  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.