October 10, 2014

  • VITUKO MITAANI NANI ALAUMIWE KATI YA JIJI NA TANESCO MBEYA KWA KITUKO HIKI



    VITUKO MITAANI NANI ALAUMIWE KATI YA JIJI NA TANESCO MBEYA KWA KITUKO HIKI
    Hii hatari kwa waendesha magari nyakati za usiku hii nguzo ipo barabara mpya jirani ya bustani ya jiji eneo la uwanja wa sokoine jijini Mbeya 
    Je? ushirikiano wa Halmashauri ya jiji la Mbeya na Tanesco hakuna mmeshindwa kukaa chini mkajadili swala hili maana yote mnayofanya ni kwafaida ya wananchi 
    Picha yenyewe inajieleza je mnasubiri ajali itokee ndiyo mchukue hatua?
    Hii hatari sana ujumbe tunaimani umefika 


    Picha na Mbeya yetu



  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.