Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais                  Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu  ya                  Halmashauri Kuu ya Taifa CCM kwenye ukumbi wa NEC,CCM                  Makao Makuu Dodoma.                             Katibu Mkuu wa CCM Ndugu                  Abdulrahman Kinana akisoma taarifa fupi ya ufunguzi wa                  kikao kwenye ukumbi wa NEC mjini Dodoma.                             Katibu wa NEC Uchumi na Fedha                  Bi.Zakia Meghji akizungumza na Katibu wa NEC                  Oganaizesheni Ndugu Mohamed Seif Khatib wakibadilishana                  mawazo muda mfupi kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati                  Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa mjini Dodoma.                            Naibu Katibu Mkuu wa                  CCM (Bara) Ndugu Mwigulu Nchemba akizungumza na Katibu                  wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Nape Nnauye katika ukumbi                  wa NEC kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu ya                  Halmashauri Kuu ya CCM mjini Dodoma.
          



0 comments:
Post a Comment