Wanafamilia wakiwa                katika ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Meneja Uhusiano                wa TTCL, marehemu Amini Elias Mbaga. Ibada hiyo ilifanyika                katika Kanisa la KKT Sinza Kumekucha. Mazishi yanatarajiwa                kufanyika Same Mkoa wa Kilimanjaro leo.
                Ofisa Mtendaji Mkuu wa                TTCL, Kamugisha Kazaura (kushoto) akiwa na Mkurugenzi wa                Rasilimali Watu wa TTCL, Edward Emmanuel wakiwa katika                ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Meneja Uhusiano wa TTCL                marehemu, Amin Elias Mbaga iliyofanyika katika Kanisa la                KKKT Sinza Kumekucha jijini Dar es Salaam.
                Baadhi ya waombelezaji                wakiwa katika ibada ya kuaga mwili.
                Waombelezaji wakitoa                heshima za mwisho.
                Waombelezaji wakitoa                heshima za mwisho.
                Waombelezaji wakitoa                heshima za mwisho.
                Mkurugenzi wa Rasilimali                Watu wa TTCL, Edward Emmanuel akitoa heshima za mwisho                mbele ya jeneza lililokuwa na mwili wa aliyekuwa Meneja                Uhusiano wa TTCL marehemu, Amini Elias Mbaga katika Kanisa                la KKKT Sinza Kumekucha jijini Dar es Salaam.
                Ofisa Mtendaji Mkuu wa                TTCL, Kamugisha Kazaura akitoa heshima za mwisho wakati wa                ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Meneja Uhusiano wa TTCL                marehemu, Amini Elias Mbaga iliyofanyika Kanisa la KKKT                Sinza Kumekucha jijini Dar es Salaam.
                Kwaya ikiimba nyimbo za                maombolezo wakati wa ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa                Meneja Uhusiano wa TTCL marehemu Amini Elias Mbaga.
                 Waombolezaji wakiwa                wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa aliyekuwa Meneja                Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), marehemu                Amini Mbaga.
                
0 comments:
Post a Comment