Mbunge wa                jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro na Mwenyekiti wa chama                cha TLP, Dkt. Augustine Lyatonga Mrema akihutubia katika                mkutano wa hadhara jimboni kwake  jana kwa ajili ya                kuhamasisha uchaguzi wa serikali za mitaa na pia kuelezea                utekelezaji wa miradi ya Maendeleo.
          
Katika jimbo hilo la Vunjo kumekuwepo na Mvutano mkubwa wa kuliwania katika uchaguzi mkuu wamakani ambapo kwa vyama vya CCM tayari kijana Innocent Shirima ameshatangaza nia kama alivyofanya Mh. James Mbatia wa NCCR-Mageuzi.

0 comments:
Post a Comment