Wachezaji wa timu za                Boom FC na Vijana ya Ilala wakisalimiana kabla ya mchezo                wao wa hatua ya 16 Bora ya michuano ya Dk. Mwaka Sports                Extra Ndondo Cup 2014 uliofanyika katika Uwanja wa Shule                ya Sekondari ya Benjamini Mkapa jijini Dar es Salaam. Timu                hizo zilitoka sare ya bila kufungana.
                 Kikosi cha timu ya                Vijana ya Ilala kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya                mchezo wao na Boom FC katika Uwanja wa Shule ya Sekondari                ya Benjamini Mkapa jijini Dar es Salaam.
                Kikosi cha timu ya Boom                FC kikiwa katika picha ya pamoja.
                 Mashabiki wa timu ya                Boom FC, wakipiga ngoma wakati timu yao ikicheza na Vijana                ya Ilala.
                Nahodha wa timu ya                Vijana Ilala (kushoto) akisalimiana na mwenzake wa Boom                FC, kabla ya kuanza kwa mchezo wao wa Ligi ya Dk. Mwaka                Sports Extra Ndondo Cup.
                Mshambuliaji wa timu ya                Vijana Ilala, Matola Selemani, kushoto akiwania mpira na                winga wa timu ya Boom FC, Nambongo Hussein katika mchezo                wa Ligi ya Dk. Mwaka Sports Extra Ndondo Cup.
                Mshambuliaji wa timu ya                Boom FC,Issac Tesha (katikati) akijaribu kufunga                 bao katika Ligi ya Dk. Mwaka Sports Extra Ndondo Cup 
                        Winga wa timu ya Boom                FC, akiwatoka mabeki wa timu ya Vijana ya Ilala katika                mchezo wa Ligi ya Dk. Mwaka Sports Extra Ndondo Cup. 
                Beki wa timu ya Vijana                Ilala Ramadhani Yasini, (kushoto) akiwania mpira na                mshambuliaji wa timu ya Boom Ally Kondo, katika Ligi ya                Dk. Mwaka Sports Extra Ndondo Cup.     
                Baadhi ya wadau wa  Soka                wakifuatilia mechi kati ya Tabata FC na Sifa Politan                kwenye Uwanja wa Bandari.  
                Kiungo mshambuliaji wa                timu ya Sifa Politan, Mathayo Edward (kulia) akitafuta                mbinu za kuwatoka mabeki wa timu ya Tabata FC, katika Ligi                ya Dk. Mwaka Sports Extra Ndondo Cup mechi iliyochezwa                katika Uwanja wa Bandari Dar es Salaam. Tabata ilishinda                kwa Penati 4-3.    
                 Mashabiki wa timu                ya  Sifa Politan wakishangilia timu yao.
                 Mashabiki wa timu ya                Tabata FC wakishangilia ushindi wa timu yao baada ya                kuifunga Sifa Politan kwa mikwaju ya penalti 4-3.
                 Kipa wa Sifa Politan                akiruka bila mafanikio kujaribu kuokoa penalti iliyopigwa                na Kudura Shaban wa Tabata FC. 
                Heka Heka katika lango                la timu ya BOOM FC.
Mashabiki soka wakifuatilia pambano la Sifa Politan na Tabata FC kwenye Uwanja wa Bandari.
Wadau wa Soka wakifuatilia pambano la Sifa Politan na Tabata FC kwenye Uwanja wa Bandari.
Mashabiki soka wakifuatilia pambano la Sifa Politan na Tabata FC kwenye Uwanja wa Bandari.
Mashabiki wa timu ya Tabata FC wakishangilia ushindi wa timu yao baada ya kuifunga Sifa Politan kwa mikwaju ya penalti 4-3.
Mashabiki wa timu ya Tabata FC wakishangilia ushindi wa timu yao baada ya kuifunga Sifa Politan kwa mikwaju ya penalti 4-3.
        Mashabiki soka wakifuatilia pambano la Sifa Politan na Tabata FC kwenye Uwanja wa Bandari.
Wadau wa Soka wakifuatilia pambano la Sifa Politan na Tabata FC kwenye Uwanja wa Bandari.
Mashabiki soka wakifuatilia pambano la Sifa Politan na Tabata FC kwenye Uwanja wa Bandari.
Mashabiki wa timu ya Tabata FC wakishangilia ushindi wa timu yao baada ya kuifunga Sifa Politan kwa mikwaju ya penalti 4-3.
Mashabiki wa timu ya Tabata FC wakishangilia ushindi wa timu yao baada ya kuifunga Sifa Politan kwa mikwaju ya penalti 4-3.

0 comments:
Post a Comment