Mdau Moody Kiluvia akiwa katika Uwanja wa Maracana jijini Rio de Janeiro kushuhudia mechi ya Argentina dhidi ya Bosnia Herzegovina ambapo Argentina wameshida kwa bao 2-1. Matokeo mengine ya leo ni Uswisi imeshinda 2-1 dhidi ya Ecuador, wakati Ufaransa imeizamisha Honduras kwa bao 3 mtungi.
0 comments:
Post a Comment