June 22, 2014

  • ARGENTINA YAICHAPA IRAN BAO 1-0, MESSI APIGA GOLI



    ARGENTINA YAICHAPA IRAN BAO 1-0, MESSI APIGA GOLI

    Joy: Argentina's Lionel Messi              celebrates after scoring the winner against Iran

    TIMU ya Taifa ya Argentina imefanikiwa kupata ushindi wa taabu wa bao 1-0 dhidi ya timu ya taifa ya Iran.
    Bao hilo pekee la ushindi limefungwa na mshambuliaji wa FC Barcelona, Lionel Messi katika dakika ya 90 ya mchezo huo.

    Kikosi cha Argentina (4-3-3): Romero; Zabaleta, F Fernandez, Garay, Rojo; Gago, Mascherano, Di Maria (Biglia 90), Aguero (Lavezzi 77), Messi, Higuain (Palacio 77) 

    Mfungaji wa Goli: Messi 90

    Kikosi cha Iran (4-2-3-1): Alireza Haghighi, Montazeri, Hosseini, Sadeghi, Pouladi, Shojaei (Heydari 76), Teymourian, Nekounam, Hajsafi (Reza Haghighi 88), Dejagah (Jahanbakhsh 85), Ghoochannejhad.
    Kadi ya njano: Nekounam,Shojaei
    Idadi ya watazamaji: 57,698
    Mwamuzi:  M Mazic (Serbia).
    Drama: Messi cuts inside                    and lets fly with a left-footed shot in the final                    seconds Messi akifunga bao lake katika dakika za mwisho
    Stunner: Iran's goalkeeper Alireza Haghighi is                    beaten by Messi's strike in injury time
    Mlinda mlango wa Iran, Alireza Haghighi akishindwa kuzuia mpira  uliopigwa na Messi 


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.