Mshambuliaji wa Nigeria                   Peter Odemwingie (kushoto) akifunga bao lake, huku kipa                   Asmir Begovic akiwa hana la kufanya.
            BAO pekee la                  mshambuliaji wa Stoke City, Peter  Odemwingie katika                  mchezo wa kombe la dunia  limeipa ushindi muhimu timu ya                  taifa ya Nigeria dhidi ya Bosnia.
            Kwa matokeo hayo,                  Bosnia wameshaaga mashindano yao ya mara ya kwanza ya                  kombe la dunia
                        Kitu kambani:                    Odemwingie  akiwa ametumbukiza mpira nyavuni.
               Odemwingie                      (kushoto) akishangilia bao lake baada ya kupokea                      pasi kutoka kwa  Emmanuel Emenike (kulia).
                 Odemwingie                        akipongezwa na wachezaji wenzake.
                  Hapa chini ni                        vikosi vya timu zote na viwango vyao. Alama                        zilizotolewa ni chini ya 10.
                Kikosi cha Nigeria: Enyeama 7, Oshaniwa 6, Yobo 6, Omeruo 6, Ambrose 6, Onazi 7, Mikel 6, Babatunde 6 (Uzoenyi 75), Musa 7 (Ambeobi 66 5) Odemwingie 8, Emenike 7
Wachezaji wa akiba ambao hawakucheza: Ejide, Uzoenyi, Gabriel, Egwuekwe, Moses, Odunlami, Azeez, Nwofor, Uchebo, Agbim.
Kadi ya njano: Mikel
Mfungaji wa goli: Odemwingie
Kikosi cha Bosnia-Herzegovina: Begovic 7, Mundza 6, Sunjic 6, Spahic 5, Lulic 6 (Salihovic 58 6), Besic 7, Misimovic 6, Medunjanin 6 (Susic 64 5), Hajrovic 6 (Ibisevic 57 6), Pjanic 8, Dzeko 6
Subs not used: Fejzic, Vrsajevic, Bicakcic, Kolasinac, Vranjes, Ibricic, Visca, Hadzic, Avdukic.
Kadi ya njano: Medunjanin
Mwamuzi: Peter O'Leary (New Zealand)
*Viwango vya wachezaji na Joe Bernstein
Hakuna njia:                    Mshambuliaji wa Bosnia,  Edin Dzeko (kulia)                    akiangushwa chini na kiungo wa Nigeria  John Obi Mikel
              Rudi hapa wewe!:                      mchezaji wa Bosnia,  Muhamed Besic (kulia) akivuta                      kiatu cha Michael Babatunde baada ya kuzidiwa                      maarifa.
              
0 comments:
Post a Comment