KIJANA mmoja (jina halikufahamika)                  anayedaiwa kuwa kibaka ameuawa kwa kuchomwa moto baada                  ya kukamatwa jana maeneo ya Tabata-Kimanga jijini Dar es                  Salaam akiwa nyumbani kwa mtu. Kijana huyo alichomwa                  moto na wananchi wenye hasira kali dhidi ya wahalifu wa                  aina hiyo.
          
            
          CREDITS; GPL
                       
0 comments:
Post a Comment