Watu            wawili namenusulika kifo baada ya kontena la kunde kudondoka            kutoka juu ya gari la mizigo lililokuwa kwenye mwendo kasi,            likitokea Mbagala rangi tatu likielekea Kariakoo jijini dar es            salaam.Taarifa zinasema kwamba hakuna mtu aliyepoteza maisha            wala kujeruhiwa katika tukio hilo, isipokuwa vijana wanaoishi            maeneo hayo walianza kuzoa Kunde baada ya kontena kuanguka            kabla ya polisi kufika.
                               Inalipotiwa            kuwa chanzo cha ajali hiyo nikutofungwa vizuri kwa kontena            hilo pamoja na bodi ya gari la mizigo husika.
                               Ajali            hii imetokea leo maeneo la Msikitini kati ya Mtongani na            Mission jijini dar es salaam.PICHA NA MUTALEMWA BLOG
          
          
                                 
0 comments:
Post a Comment