August 26, 2014

  • Angalia Video Mamba ashambuliwa na Simba watatu Kenya, wamchangia lakini awatoa nishai



    Angalia Video Mamba ashambuliwa na Simba watatu Kenya, wamchangia lakini awatoa nishai
     
    Tazama video ya mapigano kati ya simba watatu na mamba mmoja ambapo pamoja na kuchangiwa na simba hao watatu,mamba aliweza kukabiliana nao na baadae kukimbilia majini.



  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.