August 27, 2014

  • RAIS KIKWETE AUTIKISA MJI WA GAIRO


    RAIS KIKWETE AUTIKISA MJI WA GAIRO
    Rais Jakaya Kikwete akilakiwa na maelfu ya wananchi alipowasili kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro  kuhutubia mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014. PICHA ZOTE/IKULU

    Mbunge wa Gairo Mhe. Ahmed Mabhut Shabiby akimkaribisha Rais Kikwete kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro  kuhutubia mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014.
    Sehemu ya maelfu ya wananchi waliofurika kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro  kumsikiliza Rais Kikwete alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014.
    Mmoja wa wananchi waliofurika kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro akichukua kumbukumbu wakati wa  kumsikiliza Rais Kikwete alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014.
    Rais Kikwete akihutubia umati wa maelfu ya wananchi waliojitokeza  kumsikiliza  kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro  alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014.
    Rais Kikwete akipata picha ya kumbukumbu na wazee wa mji wa Gairo waliojitokeza  kumsikiliza  kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro  alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014.
    Rais Kikwete akiagana na baadhi ya wananchi  waliojitokeza  kumsikiliza  kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro  alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014.
    Rais Kikwete akiawaaga wananchi waliojitokeza  kumsikiliza  kwenye  mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro  alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014.


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.